Za gavoo au privateNina dada yangu sasa nafikiria kutoa huku asante kotoko,hivyo mwenye kufahau au kuifahamu shule ya bweni yenye gharama nafuu anidokeze nifanye mpango haraka.
Natanguliza shukrani
Hazipo au huziaminiYaani unatafuta private school ya bei nafuu bweni mhhh mkuu utakuja kupoteza muda hutoamini.....
Secondary au msingi...Greenbird English medium..1.5mNina dada yangu sasa nafikiria kutoa huku asante kotoko,hivyo mwenye kufahau au kuifahamu shule ya bweni yenye gharama nafuu anidokeze nifanye mpango haraka.
Natanguliza shukrani
Iwe mkoa gani ? Sekondari au primary ? ....maana za katoliki ndio bei poa sana....ingawa sasa khaaa wameshafanya interview lakini kujaribuNina dada yangu sasa nafikiria kutoa huku asante kotoko,hivyo mwenye kufahau au kuifahamu shule ya bweni yenye gharama nafuu anidokeze nifanye mpango haraka.
Natanguliza shukrani