Natafuta shule ya kuhamishia watoto maeneo ya mbweni,boko au bunju

Natafuta shule ya kuhamishia watoto maeneo ya mbweni,boko au bunju

kyamtagata

Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
56
Reaction score
26
Hãbari wana JF,mimi ninaishi Kinyelezi. Nina mpango wa kuhamia Bunju. Ninao watoto watatu wa Form three, Std 3 na begginer. Wote wanasoma kwenye English medium. Mwenye kujua shule nzuri iliyopo maeneo niliyoyataja anisaidie please.
 
Kuna shule moja inaitwa stamaria salome maeneo ya boko ina nursery,primary hadi sec ni kutwa na kulala jaribu hiyo kama utaipenda!!
 
Huyu wa sekondari inatakiwa boarding lakini pia iwe ni day maana baadae naweza kuopt arudi day lakini shule iwe hiyohiyo. Hawa wadogo ninataka iwe day.
 
Mt Everest, Moga pre and primary, ziko mbweni......Education Plus ya mama sita tegeta si mali na boko.
 
😛eace:Mkuu ukitaka shule nenda Mbweni, Boko, au Bunju!😛eace:

Back
Top Bottom