nimewahi kwenda hapo ila mazingira ni ya vumbi, ada kwa day ni laki6 usafiri unajitegemea, boarding ni mil1 na laki kadhaa ckumbuki. lakini ukimtoa mtoto international hizi za kawaida si itakua kumchanganya au anatumia sylabus ya Tanzania?
kuna scholastica nimesikia iko marangu au himo cjafika bado
hao st.costantine na patric ada zao zikoje? nikama mil ngapi?
Hivi kumbe unataka ya milioni ngapi? Dah we mama wewe! Wenzio tunataka za tulaki tuchache we unazungumzia mamilioni?
Hahahaha! Haya mama umesomeka. Siku hizi ada ya chekechea ni ghali kuliko twisheni fii ya festi digrii! Hivi vibinti vyangu viwili vinavyonikamua, hakyanani mtu akivijaza mimba vikiwa skuli nami ntazaa na mama zao. kudadadadeki walahi!ha! si nimeuliza, kwa maisha haya utapata wapi boarding ya watoto wadogo kwa laki? tena huku kwa kina mangi? kama ipo nielekeze pse mi nitawatafutia na wanafunzi wengi zaidi!
Hahahaha! Haya mama umesomeka. Siku hizi ada ya chekechea ni ghali kuliko twisheni fii ya festi digrii! Hivi vibinti vyangu viwili vinavyonikamua, hakyanani mtu akivijaza mimba vikiwa skuli nami ntazaa na mama zao. kudadadadeki walahi!

hapo kwenye red hapo we tafuta kesi tu!
Ni kumuomba Mungu tu apishie mbali maana ukiangalia watoto wenyewe wanavyokua kama wametiwa mbolea 10 yrs kama 15 vile! kuna cku binti kaja na icecream kasema amenunuliwa na dereva nusu kichaa kipande, kumbe dereva alitoa ofa kwa watoto wote mi nikaona wangu tu!
Kwa Arusha jaribu kuangalia St. Patrick school.. kuna St. Constantine lakini ni Expensive kidogo..
yeuwiiii jamani! huyo mtoto wangu wa kwanza kwa mr, jamani nimetoka huko wiki mbili zilizopita nilimwangalia nikapatwa na butwaaa, kana 10yrs lakini toba mungu aniepushie, na hapo kalikuwa kamevaa shamba dress...kakija likizo itabidi nibanane nako haswa kujua maendeleo ya mwili kwa ukaribu zaidi, hapo akipata ishu utackia mama yake alikuwa hamwangalii vizuri...mwehh