Natafuta shule ya msingi ya bording

Natafuta shule ya msingi ya bording

Balungi

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
234
Reaction score
162
Wadau natafuta shule ya msingi ya bording ya kiislamu kwa ajili ya mwanangu, yenye sifa kitaaluma, maadili bora, iwe Dar es salaam, Moro au mkoa wa pwani na ada kati ya milioni moja hadi mbili kamili, naomba na mawasiliano yao plz
 
shule nzuri IPO vikindu wilaya ya MKURANGA mkoa pwani ada ni 1600000 au zaidi inaitwa in jazar primary school
 
Rocken hill academy ni shule nzuri sana sana iko kahama ila ada ni 2.4 kwa mwaka
 
Rocken hill imekuwa ya kwanza kwa miaka 3 mfululizo na mwaka huu imekuwa ya saba kitaifa
 
Hivi mnazaa watoto wa nini kama kukaa nao hamuwezi? Boarding mtoto wa primary kweli?
 
Back
Top Bottom