Balungi JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 234 Reaction score 162 Nov 22, 2014 #1 Wadau natafuta shule ya msingi ya bording ya kiislamu kwa ajili ya mwanangu, yenye sifa kitaaluma, maadili bora, iwe Dar es salaam, Moro au mkoa wa pwani na ada kati ya milioni moja hadi mbili kamili, naomba na mawasiliano yao plz
Wadau natafuta shule ya msingi ya bording ya kiislamu kwa ajili ya mwanangu, yenye sifa kitaaluma, maadili bora, iwe Dar es salaam, Moro au mkoa wa pwani na ada kati ya milioni moja hadi mbili kamili, naomba na mawasiliano yao plz
Y yahayabaidu Member Joined Nov 1, 2014 Posts 17 Reaction score 5 Nov 23, 2014 #2 shule nzuri IPO vikindu wilaya ya MKURANGA mkoa pwani ada ni 1600000 au zaidi inaitwa in jazar primary school
shule nzuri IPO vikindu wilaya ya MKURANGA mkoa pwani ada ni 1600000 au zaidi inaitwa in jazar primary school
ikizu JF-Expert Member Joined Oct 26, 2011 Posts 431 Reaction score 56 Nov 23, 2014 #3 Rocken hill academy ni shule nzuri sana sana iko kahama ila ada ni 2.4 kwa mwaka
ikizu JF-Expert Member Joined Oct 26, 2011 Posts 431 Reaction score 56 Nov 23, 2014 #4 Rocken hill imekuwa ya kwanza kwa miaka 3 mfululizo na mwaka huu imekuwa ya saba kitaifa
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,183 Nov 23, 2014 #5 Hivi mnazaa watoto wa nini kama kukaa nao hamuwezi? Boarding mtoto wa primary kweli?