Natafuta shule ya msingi ya bweni ya binafsi inayotumia mtaala wa Kiswahili

Natafuta shule ya msingi ya bweni ya binafsi inayotumia mtaala wa Kiswahili

Naombeni msaada kwa anaefahamu shule ya msingi ya binafsi inayotumia kiswahili. Nitafurahi nikioata mawasiliano ya shule husika

Natanguliza shukrani
Mwanao yuko darasa la ngapi ?
Na unataka ya mkoa gani?

Kuna moja ipo singida ila ndo wanamalizia huo mfumo wameipeleka kwenye english medium,darasa la 6na 7 ila darasa 5 kuja chini ni English medium ni shule masisiter wa RC
 
Naombeni msaada kwa anaefahamu shule ya msingi ya binafsi inayotumia kiswahili. Nitafurahi nikioata mawasiliano ya shule husika

Natanguliza shukrani
Morogoro ipoMoja miaka ya Nyuma haikuwa bweni sifahamu sasa
 
Mwanao yuko darasa la ngapi ?
Na unataka ya mkoa gani?

Kuna moja ipo singida ila ndo wanamalizia huo mfumo wameipeleka kwenye english medium,darasa la 6na 7 ila darasa 5 kuja chini ni English medium ni shule masisiter wa RC
Yupo darasa la 5, mkoa wowote kama shule ipo nampeleka. Asante sana kwa ushauri
 
Shule ya msingi mkwaju,ipo wilaya ya Tunduru kijiji cha airport(mbesa),ipo chini ya kanisa la Biblia
 
Naombeni msaada kwa anaefahamu shule ya msingi ya binafsi inayotumia Kiswahili. Nitafurahi nikioata mawasiliano ya shule husika.

Natanguliza shukrani.
Ndugu habari, ulifanikiwa kupata shule gan? naomba uzoefu kidogo.
 
Back
Top Bottom