Natafuta shule ya udereva...

Kitox

Member
Joined
Aug 28, 2019
Posts
30
Reaction score
20
Habari zenu wakuu?

Mimi ni kijana ninayehitaji kujifunza udereva wa magari, hivyo naomba mwenye kufahamu sehemu yeyote wanaotoa mafunzo haya anisaidie kwani ninahitaji kuwa dereva mzuri lakini paka sasa sina uelewa wowote wa jambo hilo.

Sehemu :- nipo wilaya ya Ubungo, Dar-es-Salaam.

Muda:- Kwa siku za kazi napatikana kuanzia saa kumi jioni, siku za 'weekend' kuanzia saa sita mchana.

Natanguliza shukrani.
 
Kwa kuwa upo Ubungo.

Nenda pale Mlimani Driving School.

Ada ni 250,000
Muda wa mafunzo ni wiki nne.
Ratiba: Unapanga na mwalimu wako. Kuanzia saa moja asubuhi hadi kumi na mbili jioni mwisho.

Kila siku dakika 60
 
Kwa kuwa upo Ubungo.

Nenda pale Mlimani Driving School.

Ada ni 250,000
Muda wa mafunzo ni wiki nne.
Ratiba: Unapanga na mwalimu wako. Kuanzia saa moja asubuhi hadi kumi na mbili jioni mwisho.

Kila siku dakika 60
Ahsante mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…