Natafuta shule za English medium za bei nafuu

Natafuta shule za English medium za bei nafuu

Fastercapital

Member
Joined
Jul 25, 2019
Posts
62
Reaction score
215
Habari
Natafuta english medium primary school kwa Dar es salaam zenye school fees below 1 million . Kuna research nahitaji kufanya nao niwasiliane nao. Ntapendelea kwa Dar eneo lolote.
Asante
 
Habari
Natafuta english medium kwa dar es salaam zenye school fees below 1 million . Kuna research nahitaji kufanya nao niwasiliane nao. Ntapendelea kwa dar eneo lolote.
Asante
Olympio
Diamond
Mikongeni
Hizi unalipa laki 3 kwa mwaka. Ila ni za primary kuhusu Secondary ngoja waje wengine.
 
Back
Top Bottom