Capogi jr.
Member
- Feb 14, 2014
- 49
- 7
Wadau poleni sana na kazi. Mi natafuta shule ya kusoma iwe private au govement nzuli yenye kombi ya egm. Kama zipo naomba unijulishe na kama ni za prvte naomba unielekeze japo sehemu ya kuzipata fomu zao za kujiunga na shule hzo. Na kama kuna swala la kucheki tokeo langu mi nina 2 na nimesoma masomo ya biashara na tokeo lngu lote nina B 5 na C 6. So hyo ni cv yangu kwa ufupi.Asanteni wandugu kwa mchango wenu
Sasa mkuu hyo shule ipo wap na je form zake natapata wap za kujiunga na vp swala zima la intervw likoje imeshapigwa au bado na wap inapigwa kama bado
Rosmini interview ni tarehe 5/04/2014