tigana Member Joined Feb 20, 2012 Posts 22 Reaction score 1 Jun 4, 2012 #1 Wandugu kwa anayefahamu shule nzuri za wasichana, ada na mawasiliano kwa mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Singida, Singida, Morogoro, Iringa Njombe, na Mbeya
Wandugu kwa anayefahamu shule nzuri za wasichana, ada na mawasiliano kwa mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Singida, Singida, Morogoro, Iringa Njombe, na Mbeya
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Jun 4, 2012 #2 Loreta girls-iko mwanza..ila ada yao siijui.