Natafuta shule zinazofanya vizuri zenye mchepuo wa EGM

Natafuta shule zinazofanya vizuri zenye mchepuo wa EGM

kikaniki

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
508
Reaction score
968
Wadau salaam!

Naombeni mnitajie shule za binafsi zinazofanya vizuri katika mchepuo wa EGM. Ziwe katika mikoa ya Tanga, Arusha au Kilimanjaro

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom