kama nafasi ya malipo ipo kaka mpeleke akasomee kozi za nursingNdugu wana jf nina ndugu yangu(msichana (21)) aliyehitimu kidato cha nne upande wa arts .
Kwenye mtihani wake alipata D 3 na F 4.
Ninachoonba toka kwenu ni ushuri wa kwamba je?
1) anaweza kufanya nini ili aendelee na masomo hasa kwa mtoto wa kikekama yeye?
2) anaweza kusoma kozi gani ambayo akimaliza anaweza kujiajiri/kuajairiwa au kijaendeleza zaidi?
3) kunachuo gani anachoweza kusoma kulingana na sifa zake hasa katika mikoa ya Dar, Arusha au Tanga?
Nina uhakika sana kwamba nitapata ushauri mzuri toka kwenu maana hii ni ndiyo jamii forum.
Natanguliza sukruni zangu kwenu.
kama nafasi ya malipo ipo kaka mpeleke akasomee kozi za nursing
kama nafasi ya malipo ipo kaka mpeleke akasomee kozi za nursing
Huyo ndugu yako anaamini kuwa bado anamuda wa kusoma? Maana kuna watu wengine wanaamini wamechelewa. Km anajiona anamuda na anaweza formal training areseat masomo yake ambayo itamchukua mwaka mmoja, then aendelee na kidato cha tano au cha sita (2 years), then University of which atakuwa bado mdogo. Ila tu km uwezo wake wa kipesa, utayari na akili yake inamuwezesha kufanya hivyo.Ndugu wana jf nina ndugu yangu(msichana (21)) aliyehitimu kidato cha nne upande wa arts .
Kwenye mtihani wake alipata D 3 na F 4.
Ninachoonba toka kwenu ni ushuri wa kwamba je?
1) anaweza kufanya nini ili aendelee na masomo hasa kwa mtoto wa kikekama yeye?
2) anaweza kusoma kozi gani ambayo akimaliza anaweza kujiajiri/kuajairiwa au kijaendeleza zaidi?
3) kunachuo gani anachoweza kusoma kulingana na sifa zake hasa katika mikoa ya Dar, Arusha au Tanga?
Nina uhakika sana kwamba nitapata ushauri mzuri toka kwenu maana hii ni ndiyo jamii forum.
Natanguliza sukruni zangu kwenu.
Todays nursing is not our grandparents nursing. It has evolved and very scientific, you need a strong background in biology,microbiology, math, chemistry and some sociology and psychology. not to forget maths and pharmacology. What makes you think a form four failure can do that?
On the constructive side, find the young woman's interests and cultivate them. We tend to forget vocational training, one of my regrets in life is that I did not learn any trade. Jifunze kuchonga mtumbwi, kutengeneza matofari, kutengeneza furniture, kusuka ukili, virago etc. people always buy matofali , mikeka na maandazi.
Huyo ndugu yako anaamini kuwa bado anamuda wa kusoma? Maana kuna watu wengine wanaamini wamechelewa. Km anajiona anamuda na anaweza formal training areseat masomo yake ambayo itamchukua mwaka mmoja, then aendelee na kidato cha tano au cha sita (2 years), then University of which atakuwa bado mdogo. Ila tu km uwezo wake wa kipesa, utayari na akili yake inamuwezesha kufanya hivyo.
Option ya 2 ni kufanya vocational training. Kuna ufundi km cherehani ambao mtu akiufanya kisasa utamlipa. Hii ni pamoja kuwa na ofisi ya kueleweka na appointment nk.
Km hayo ni marefu kwake ajifunze hata ualimu wa chekechea. Akiu-modenise utamlipa na maisha yatakwenda.
1) anaweza kufanya nini ili aendelee na masomo hasa kwa mtoto wa kikekama yeye?Ndugu wana jf nina ndugu yangu(msichana (21)) aliyehitimu kidato cha nne upande wa arts .
Kwenye mtihani wake alipata D 3 na F 4.
Ninachoonba toka kwenu ni ushuri wa kwamba je?
1) anaweza kufanya nini ili aendelee na masomo hasa kwa mtoto wa kikekama yeye?
*** Hapo ndipo watu wengi huwa wanakosea sana! Nini chakufanya hupaswi kumchaguliwa kwani ni ngumu sana kujua uwezo wake na interest yake! Kaa naye uongee naye na akwambie nini anaweza kufanya/kusoma! Epuka lawama kama: 'wewe ndiyo ulinishawishi kusoma Biology'
2) anaweza kusoma kozi gani ambayo akimaliza anaweza kujiajiri/kuajairiwa au kijaendeleza zaidi?
*** kwa maisha ya sasa kidato cha 4 bado ni elimu ndogo sana. Mshauri arudie mtihani wa kidato cha nne kwanza ili apate credit walau CCC kisha ajikongoje na kidato cha 5/6. Baada ya hapo yeye ndiyo achague nini cha kufanya na sio wewe au sisi kumchagulia!
3) kunachuo gani anachoweza kusoma kulingana na sifa zake hasa katika mikoa ya Dar, Arusha au Tanga?
*** Vyuo vipo vingi ni pesa yako tu lakini simshauri aendelee na vyuo kwani katika elimu kadri unavyosonga mbele ndivyo mamabo yanapanuka. kumbuka tunaishi katika dunia ya utandawazi ambayo ili uwe ngangari kitaaluma basi walau unatakiwa usome hii kitu wanayoita 'formal education'. Ni vyema binti yako ajenge msingi imara kwanza! Ninauhakika miaka ya baadae itakuwa ni ngumu sana kupata kazi kwa cheti cha kidato cha 4.
Asante kwa ushauri ila usisahau kuna GENERAL na SPECIALIZED KNOWLEDGE. Tuko pamoja sana.Nimependa sana mawazo yako,
To be honesty she is not that much confident to face such subject as advance maths, i know her.
haya nimekusoma! mimi mwenyewe shule imenipiga kushoto, karibu kijiweni ni kelele na draft kucha kutwa....Asante kwa ushauri ila usisahau kuna GENERAL na SPECIALIZED KNOWLEDGE. Tuko pamoja sana.
Asante kwa ushauri ila usisahau kuna GENERAL na SPECIALIZED KNOWLEDGE. Tuko pamoja sana.