Natafuta single maza wa kuoa

Natafuta single maza wa kuoa

Mcqueenen

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
6,843
Reaction score
11,702
Nawapenda kwasababu wamepevuka "mature"
Wanaujua uchungu na thamani ya Ndoa
Awe na elim yoyote
Mimi niko dar,ni mfanyakazi,nina miaka 34
Age is just a number
 
Mcqueenen, NB: usioe single maza kama baba watoto yuko hai. Kuna uzi umepandishwa hapa wazazi wawili wamekumbushia enzi na mimba juu. Anaomba ushauri.
 
Nawapenda kwasababu wamepevuka "mature"
Wanaujua uchungu na thamani ya Ndoa
Awe na elim yoyote
Mimi niko dar,ni mfanyakazi,nina miaka 34
Age is just a number
Ukimpata na Siku akikwambia anampeleka mtoto kwa mzazi mwenzake Na anaweza asirudi usilete siredi humu
 
Hongera mungu awe nawe na akupe chaguo sahihi kwako
 
Back
Top Bottom