Natafuta single mother

Mallibbotty6

Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
14
Reaction score
12
MIMI NI MWANAUME

NINA UMRI WA MIAKA 34

NI MFANYA BIASHARA

NINATAFUTA SINGLE MAMA TUWE KWENYE RELATIONSHIP THEN TUTAAMUA BAADA YA KUWA PAMOJA.

VIGEZO:

AWE MKRISTU.

ASIWE MWEMBAMBA / MNENE SANA

ASIWE NA WATOTO ZAIDI YA 2

AWE NA KAZI HALALI INAYOMUINGIZIA KIPATO.

ALIYE TAYARI AJE PM TUYAJENGE.
 
sema nko mbali duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…