natafuta sliding windows

Mutensa

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2009
Posts
421
Reaction score
92
Wakubwa, natafuta sliding windows za ama aluminium au UPVC. Mwenye nazo ani-pm, au nitumie email kwenye mutensa@live.co.uk, nifahamishe
1. Bei kwa square metre
2. Kama una variable colour za frame nijulishe ni zipi
3. Workshop yako au showroom iko wapi
4. Simu yako
5.nyumba husika iko dar, hivyo nategemea majibu kutoka kwa suppliers wa dar tu.
 
Eh!
Hii kali! Ina maana wajasiliamali wetu hawatumii mtandao? Sijapata hata ka-email kamoja toka jana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…