Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,822
- 5,425
Samsung Kali kwa 120k!!!???? Labda unatania.Simu kali kwa 120? ngoja wakwapue huko ununue kesi ya kuvunja na kuiba kwa 130,000
huu uzi hauwahusu watumia tecno
soma uzi vizuri mkuuChukua Samsung s6edge used japan kwa 180View attachment 2202898
watu tushanunua mpaka gari kwa laki 3.5 na hatujabambikiwa kesi yoyoteSimu kali kwa 120? ngoja wakwapue huko ununue kesi ya kuvunja na kuiba kwa 130,000