Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hbr wana JF natafuta mtu mwenye softcopy ya JUTASTAT ya 2010, kwa maana mimi niliyonayo haina sheria nyingi ie zote ambazo zimetungwa kuanzia mwaka 2002 na kuendelea hazipo hata kama kuna malipo tutaelewana.
Hakuna wa kufanya hivyo bila ya kuwa ni deal. Wabongo na deallizationSidhani kama JUTA wametengeneza software nyingine zaidi ya ile ya 2002 na hii ni kutokana na ukweli kuwa hakujawa na mkakati mwingine wa kurevise sheria zote toka zoezi hilo lilipofanyika mara ya mwisho mwaka 2002, naunga mkono ushauri wa mkuu hapo juu, ukitembelea website ya Bunge unaweza kupata sheria zote zilizotungwa baada ya mwaka 2002