Natafuta software ya ku-print pilau kwenye 3D printer

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Technology imekuwa, watu wanaprint cake kwenye 3D printers, mi natafuta software ya kuprint pilau.., Mwenye nayo anijuze..
 
Nilikua nakuona mtu mwenye staha kumbe na wewe ni pimbi hivi!
 
Pole jamaa, watu wanakutukana kwa kuwa hawaelewi maana ya 3d printing.

Ku print pilau pia inawezekana kwa kuwa so far waweza print vyakula kama pizza na burger. But itabidi hiyo pilau iwe na shape maalum inayoeleweka.

Natoa wito, wabongo tupende kujifunza, sio kupinga kila kitu.

3d-pizza-printer.jpg

Home-Used-Desktop-Food-3D-Printer-Machine.jpg
 
Asante kwa kunikingia kifua broo
 
Back
Top Bottom