SOFTWARE Natafuta software

SOFTWARE Natafuta software

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2009
Posts
33,643
Reaction score
36,090
Kuna jamaa (nimsahau) alisema ametengeneza software inayoweza kutumika na kanisa Katoliki kwenye taarifa za waumini kuhusu
1. Jina
2. Jumuiya
3. kanda
4 ULIPAJI zaka na michango mbalimbali
4. Harambe
5. Ubatizo
6. Kipaimara
7. Ndoa
8. na mengine yahusuyo RC

Kama atasoma taarifa hii naomba tuwasiliane

Au mwingine yeyote mwenye uwezo wa kufanya Haya, tuwasiliane
 
Mkuu hii project imekaa rahisi sana kuifanya. Nicheck ukitaka kitu cha maana kama unavyopenda na budget yako pia.
 
Back
Top Bottom