Kuna jamaa (nimsahau) alisema ametengeneza software inayoweza kutumika na kanisa Katoliki kwenye taarifa za waumini kuhusu
1. Jina
2. Jumuiya
3. kanda
4 ULIPAJI zaka na michango mbalimbali
4. Harambe
5. Ubatizo
6. Kipaimara
7. Ndoa
8. na mengine yahusuyo RC
Kama atasoma taarifa hii naomba tuwasiliane
Au mwingine yeyote mwenye uwezo wa kufanya Haya, tuwasiliane