Charles Kakala
New Member
- Feb 2, 2023
- 3
- 3
Bado mkuu, ninazo dumu za Lita 20 ziko 200 asali mbichi ya Tabora nyuki wakubwa nisaidie connection pa kuzipeleka mkuu,Umefanikiwa kupata uelekeo mtaalm.
Boss so sorry namba yangu Iko hewani mda wote, 0746957595, nisaidieni jamani Kwa anaejua soko lilipoTatizo hujaweka numbers zako
Mambo vipi?Habari,
Nina dumu 200 za asali mbichi, Lita 20 natafuta wateja ziko Tabora, nzuri sana nyuki wakubwa, imevunwa mwaka Jana,kuhusu bei Lita 20 nauza 130,000 Kwa Kila dumu.