Natafuta soko la asali nje ya nchi

una kiasi gani.nje sio ndoo kumi zinatakiwa zijae container au zaidi na pure honey ni nzuri.sema ni ipi unayo biashara ya asali haina shida kama ipo pure
 
2000 litres mkuu.ni pure honey
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…