mkandarasi
Member
- Sep 16, 2010
- 22
- 11
ndugu zangu nina mzigo wa asali ambayo haijakorogwa wala kuchanganywa na kitu chochote, ipo lita elfu tatu,ipo kwenye buckets za lita 20, kwa sasa sina nguvu ya kufanya processing au labelling na packing, ninatafuta soko ndani au nje ya nchi jinsi ilivyo, ninaomba msaada kwa yeyote anayeweza kunisaidia japo mawazo.
upo wapiiiiiiiiiiiiii? Kama upo mikoani ipeleke dar
ni pm tuongee kaziWadau kwanza samahani kwa ukimya wangu, hii ni kwa sbb muda mwingi nakuwa vijijini ambako hakuna njia hizi za mawasiliano. Asali ni ya nyuki wakubwa inatokea Handeni Tanga. Aidha nina mawasiliano pia na wafugaji wa Tabora na ninaweza kupata mzigo pia kwao itakapohitajika. Asali ipo kwenye ndoo za plastiki za lita 20 na ninauza elfu themanini kwa ndoo moja, namba yangu ya simu ni 0768422532 ila nitakuwa napatikana kuanzia jumanne next week 24 April. Ninawashukuru sana kwa mwitikio wenu.