batamzinga Member Joined Oct 23, 2012 Posts 35 Reaction score 26 May 18, 2014 #1 Nina asali mbichi natafuta soko. Bei ni 11,000 kwa kilo.
M MORIA JF-Expert Member Joined Jul 1, 2011 Posts 706 Reaction score 278 May 18, 2014 #2 batamzinga said: Nina asali mbichi natafuta soko. Bei ni 11,000 kwa kilo. Click to expand... Uko wapi..asali yako ni ya nyuki gani na mkoa gani...
batamzinga said: Nina asali mbichi natafuta soko. Bei ni 11,000 kwa kilo. Click to expand... Uko wapi..asali yako ni ya nyuki gani na mkoa gani...
batamzinga Member Joined Oct 23, 2012 Posts 35 Reaction score 26 May 19, 2014 Thread starter #3 MORIA said: Uko wapi..asali yako ni ya nyuki gani na mkoa gani... Click to expand... Nipo Dar. Nyuki wakubwa, Tanga
MORIA said: Uko wapi..asali yako ni ya nyuki gani na mkoa gani... Click to expand... Nipo Dar. Nyuki wakubwa, Tanga
masai dada JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 16,207 Reaction score 14,343 May 19, 2014 #4 looh ingekuwa wadogo ningenunua kwa jumla niisafirishe