Natafuta soko la bata

Natafuta soko la bata

sadali

New Member
Joined
Feb 21, 2015
Posts
4
Reaction score
0
Wana forum naulza wapi kuna soko la bata maana nataka kufanya biashara hii...

Tuoneshane njia....
 
Soko la bata ngumu,k'bu watu wakikuona umebeba bata wanajua unakwenda kufuga.kama ni dume wanajua umekodi.ila watamu sana.
 
Wana forum naulza wapi kuna soko la bata maana nataka kufanya biashara hii...

Tuoneshane njia....

Zungukia mahoteli mkuu na masoko makubwamakubwa kama Magomeni,Afrıka sana,Nyuki n.k.Bata watu na wanaumuka si mchezo.
 
Back
Top Bottom