S sadali New Member Joined Feb 21, 2015 Posts 4 Reaction score 0 Mar 1, 2015 #1 Wana forum naulza wapi kuna soko la bata maana nataka kufanya biashara hii... Tuoneshane njia....
bushman JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 2,412 Reaction score 747 Mar 1, 2015 #2 Soko la bata ngumu,k'bu watu wakikuona umebeba bata wanajua unakwenda kufuga.kama ni dume wanajua umekodi.ila watamu sana.
Soko la bata ngumu,k'bu watu wakikuona umebeba bata wanajua unakwenda kufuga.kama ni dume wanajua umekodi.ila watamu sana.
Y Yodoki II JF-Expert Member Joined Oct 17, 2014 Posts 5,517 Reaction score 4,001 Mar 2, 2015 #3 sadali said: Wana forum naulza wapi kuna soko la bata maana nataka kufanya biashara hii... Tuoneshane njia.... Click to expand... Zungukia mahoteli mkuu na masoko makubwamakubwa kama Magomeni,Afrıka sana,Nyuki n.k.Bata watu na wanaumuka si mchezo.
sadali said: Wana forum naulza wapi kuna soko la bata maana nataka kufanya biashara hii... Tuoneshane njia.... Click to expand... Zungukia mahoteli mkuu na masoko makubwamakubwa kama Magomeni,Afrıka sana,Nyuki n.k.Bata watu na wanaumuka si mchezo.
komamgo JF-Expert Member Joined Sep 14, 2012 Posts 1,757 Reaction score 1,483 Mar 2, 2015 #4 sadali said: Wana forum naulza wapi kuna soko la bata maana nataka kufanya biashara hii... Tuoneshane njia.... Click to expand... Subiri sikukuu utakimbia, walaji tupo.
sadali said: Wana forum naulza wapi kuna soko la bata maana nataka kufanya biashara hii... Tuoneshane njia.... Click to expand... Subiri sikukuu utakimbia, walaji tupo.
FatherOfAllSnipers JF-Expert Member Joined Mar 13, 2019 Posts 1,692 Reaction score 4,442 Sep 3, 2019 #5 Hizi project zenu huwa zinaishia vipi?