Natafuta soko la kamba za katani (sisal ropes & twines)

Natafuta soko la kamba za katani (sisal ropes & twines)

Jamsojamaal

Member
Joined
Jul 13, 2022
Posts
23
Reaction score
6
Habari wadau,

Bado naendelea kutafuta masoko ya kamba za katani.

Bei ziko vizuri. Kwa mwenye kufahamu/uhitaji tafadhali tuwasiliane.

Screenshot_20221020-102204.jpg
 
Ungetafuta masoko nje ya Tanzania. Huko zina uhitaji sana hasa nchi za EU.
 
Soko ni soko undeni fupi fupi lainiii kwa ajili ya wale wanaojinyonga wasiumie shingo.
 
Ila mchina hatarii.. Kaharibu soko la kamba za katani ameleta kamba za plastic na sokoni zinatembea balaa
 
Hapo mteja ni mpaka aulize urefu wa coil hiyo na millimeters ngapi unene kwa nini usirahisishe moja kwa moja mkuu kwa kuweka details zote?
 
Mkuu urefu wa coil max ni 220m, unene wa kamba tunazo kuanzia 06mm-50mm
Hapo sawa, maana biashara matangazo na unajitahidi kuweka details zote pamoja
Vipi kuhusu bei na je soko la nje kuna watu wanaleta kama ulaya?
Umelifuatilia hilo kujua soko lipo

Naomba unijibu hayo
 
Hapo sawa, maana biashara matangazo na unajitahidi kuweka details zote pamoja
Vipi kuhusu bei na je soko la nje kuna watu wanaleta kama ulaya?
Umelifuatilia hilo kujua soko lipo

Naomba unijibu hayo
Kwa bei mkuu ziko reasonable na zinategemea na size ya kamba ,urefu . Kuhusu soko la nje bado nipo kwenye research bado sijapata. Ila kama una muongozo wowote nitashkuru ukiniongoza.
 
Kwa bei mkuu ziko reasonable na zinategemea na size ya kamba ,urefu . Kuhusu soko la nje bado nipo kwenye research bado sijapata. Ila kama una muongozo wowote nitashkuru ukiniongoza.
Kwa mfano 18mm kwa urefu wa 220 ni kiasi gani?
Nahoji hivi ili nipate mwanga tu maana nziona [emoji636] kwenye mtandao ila sijui kabisa biashara hii ila nimetaka kuangalia kama soko lipo na bei zipoje

Ukinipa mwanga kidogo na kama kuna uwezekano wa kupata vibali vya kutoa mzigo sawa
Acha nijisomee kwanza hapa
 
Back
Top Bottom