Jamsojamaal
Member
- Jul 13, 2022
- 23
- 6
kupata connection ya uko EU ss 🤔🤔🤔Ungetafuta masoko nje ya Tanzania. Huko zina uhitaji sana hasa nchi za EU.
Connection ya kupata masoko huko mkuuUngetafuta masoko nje ya Tanzania. Huko zina uhitaji sana hasa nchi za EU.
Sana kamba ya plastic ni changamoto.Ila mchina hatarii.. Kaharibu soko la kamba za katani ameleta kamba za plastic na sokoni zinatembea balaa
Mkuu urefu wa coil max ni 220m, unene wa kamba tunazo kuanzia 06mm-50mmHapo mteja ni mpaka aulize urefu wa coil hiyo na millimeters ngapi unene kwa nini usirahisishe moja kwa moja mkuu kwa kuweka details zote?
Hapo sawa, maana biashara matangazo na unajitahidi kuweka details zote pamojaMkuu urefu wa coil max ni 220m, unene wa kamba tunazo kuanzia 06mm-50mm
Kwa bei mkuu ziko reasonable na zinategemea na size ya kamba ,urefu . Kuhusu soko la nje bado nipo kwenye research bado sijapata. Ila kama una muongozo wowote nitashkuru ukiniongoza.Hapo sawa, maana biashara matangazo na unajitahidi kuweka details zote pamoja
Vipi kuhusu bei na je soko la nje kuna watu wanaleta kama ulaya?
Umelifuatilia hilo kujua soko lipo
Naomba unijibu hayo
Kwa mfano 18mm kwa urefu wa 220 ni kiasi gani?Kwa bei mkuu ziko reasonable na zinategemea na size ya kamba ,urefu . Kuhusu soko la nje bado nipo kwenye research bado sijapata. Ila kama una muongozo wowote nitashkuru ukiniongoza.