sinyoritah
JF-Expert Member
- Jun 3, 2012
- 552
- 346
Habari za mchana ,Kwanza Naomba nisahihishwe spelling za kuroilers kama nimekosea
Pili wapi naweza pata soko la jumla kwa kuku aina ya kuroilers,wapo kuloires 65+ nimejaribu kuzunguka masokoni lakini bei zao bado haziridhishi .
delivery ipo ukihitaji kuku kwanzia watano utaletewa ulipo,bei 17,000
Mkuu ungeweka na ka-picha ka hao kuku wako, nadhani hata ungeongeza na wastani wa uzito kwa kuku mmoja lakini pia availability yako. Nadhani ukifanya hivo tunakuwa tuna mahala pa kuanziaHabari za mchana ,Kwanza Naomba nisahihishwe spelling za kuroilers kama nimekosea
Pili wapi naweza pata soko la jumla kwa kuku aina ya kuroilers,wapo kuloires 65+ nimejaribu kuzunguka masokoni lakini bei zao bado haziridhishi .
delivery ipo ukihitaji kuku kwanzia watano utaletewa ulipo,bei 17,000
Dodoma kuna uhaba wa kuku njoo uuze, uinue uchumi.Ok naomba niletee nipo Changunge.
Huu utoaji taarifa bila ya kusema maeneo mnayokaa unawapa shida sana sasa tuanze kubashiri kujua kama upo Dar au Kericho?.
Dodoma kuna uhaba wa kuku njoo uuze, uinue uchumi.
upo dodoma mkuu? bei ya kuku dodoma ni sh ngap mkuu?Dodoma kuna uhaba wa kuku njoo uuze, uinue uchumi.