Natafuta soko la kuku wa kienyeji kwa jumla na reja reja:

Natafuta soko la kuku wa kienyeji kwa jumla na reja reja:

mamimo

New Member
Joined
Feb 2, 2015
Posts
4
Reaction score
1
Nauza kuku wakubwa wa kienyeji matetea bei inaanza elf 20000/= tetea mkubwa kabisa elf 25 na majogoo bei ni elf 23000/=,25000/= na 30000/= ukinunua jumla kuanzia kuku watatu kuna punguzo la elf 2 kwa kila kuku, na unaletewa kokote ulipo bure. Ukitaka kuchinjiwa tunachinja kiislam kwa hiyo kuku wetu ni halal. Piga simu no 0714 008411 tupo ilala mtaa wa arusha
 
Mwenye kutaka kuku wengi zaidi hata 30 kwa siku wanapatikana maongezi yapo
 
Una vifaranga wa miezi minne? Kama unao utauza kwa bei gani jumla na rejareja?
 
hizi bei zako siyo realistic kwa kuzingatia bei za soko
 
Habari yako ndugu, hao kuku wana uzito wa kg ngapi kwa kuku? Weka picha pia kama inawezekana!

Mayai kwa ajili ya kutotolesha unayo na unauzaje kwa tray?
 
Ndugu yangu naona hauko siriaz na biashara yako hujaeleza wana uzito gani na pia naona kama bei uliotaja haiakisi bei ya soko, kuwa makin utafanya biashara.
 
Back
Top Bottom