Natafuta soko la kuuza mikoba au mfadhili wa bidhaa zangu

Natafuta soko la kuuza mikoba au mfadhili wa bidhaa zangu

border mc

Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
41
Reaction score
44
Naomba mnisaidie kupata soko la dizaini ya mikoba hii [emoji116][emoji116]
Niko naizalisha mimi mwenyewe ila bado sijapata soko la uhakika

Kama pia mtu anaweza nisponsor kwa kununua kwa bei ya jumla ni sawa pia.

Mikoba yangu hii ni mizuri na imara
UNAWEZA KUHIFADHI VITU KAMA
*laptop
*vitabu
*nguo na vitu vingine vidogo vidogo
Badala ya kushika mkononi unaweza kuhifadhi humu na kubeba bila shida yeyote

KARIBUNI SANA

WASILIANA NASI;

Kwa ufadhili:+255 786 977 368

Kwa manunuzi: +255 654 507 397

ASANTE
View attachment 2901220View attachment 2901221
IMG_20240211_165136_028.jpg
 
Hebu watumiaji wa jf, tupunguze ujuaji wa kiboya kwenye biashara za watu. Mara weka ngozi, mara executive hawatanunua. Executive yanhoko.

Place order hata moja hakuna. Kutoa kasoro ndio number one. Acheni sifa kwenye hela za watu.
Hapana bro hivi vitu vinajenga sana kuliko kusifiwa sifiwa tu, hutojua wapi unakosea
 
Hapana bro hivi vitu vinajenga sana kuliko kusifiwa sifiwa tu, hutojua wapi unakosea
kuna kukosoa constructively na mtu kutafuta masifa kwa kazi au matatizo ya wengine[a common thing hapa jf]. Sema kwa kesi ya jamaa, nimemkosea, alikua na ushauri mzuri wa marketing.
 
Arusha naviona sana na wadada fulani slays hivi wanavibeba sana, najiuliza mbunifu wa huu mtindoni nani na ananufaika vipi na huu ubunifu wake. Bado sijapata majibu.
 
Arusha naviona sana na wadada fulani slays hivi wanavibeba sana, najiuliza mbunifu wa huu mtindoni nani na ananufaika vipi na huu ubunifu wake. Bado sijapata majibu.
Kama yale maudhui yangu yanavyosema hii ni ngumu, inaubora na iko simple tu ila unaweza weka vitu vyako vingi na kubeba bila shida yoyote
 
Back
Top Bottom