Natafuta soko la mafuta ya alizeti na mashudu

Natafuta soko la mafuta ya alizeti na mashudu

HUNIJUI SIKUJUI

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2015
Posts
1,335
Reaction score
1,554
nina kamua mwenyewe 100% pure kwa wale wa mbali nitakuletea mpaka ulipo,napatikana dodoma

simu:0782433682
 
mashudu yako bei gani ?

Na je ni hulled au dehulled (yaani kabla ya kukamua ulitoa maganda au maganda yalibaki)

final product yake ni rangi gani nyeusi au ?

Unaanza kuuza kuanzia kiwango gani ?
 
mashudu yako bei gani ?

Na je ni hulled au dehulled (yaani kabla ya kukamua ulitoa maganda au maganda yalibaki)

final product yake ni rangi gani nyeusi au ?

Unaanza kuuza kuanzia kiwango gani ?
ukijumlisha na transport charges bei inatofautiana kulingana na location ulipo,ila primarily bei ni 500 kwa kilo,kabla ya kukamua hatukutoa maganda hvyo final product yake ni meusi minimum tutakuletea gunia 150 mpaka ulipo
 
Back
Top Bottom