baby nillaah
Senior Member
- Apr 7, 2017
- 110
- 64
Kwa Sasa upatikanaji wake sio Sana coz msimu wa Alizeti huku Bado haujaanza
Bei yako ipo huu sana,nenda Kibaigwa na Pandambili uliza bei zao....utajua ninachokwambia 14,000 rejareja pale na jumla ni chini ya hapo.Habari wajasiliamali wenzangu mimi nashida nauliza ni wapi nitapata soko la mafuta ya alizeti safii from Dodoma maana huku wanunuzi wachache..... Nauza kidumu cha litre tano 18000 elfu..... Ahsanteni!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Debe moja halizidi 7000 hivyo gunia ni 42.000/ na katika hilo gunia moja unapata 20+Litr.Gunia la alizeti ni kiasi gani?
Bei yako ipo huu sana,nenda Kibaigwa na Pandambili uliza bei zao....utajua ninachokwambia 14,000 rejareja pale na jumla ni chini ya hapo.
.
.
Kama uko tayari chukua 10,000 kwa kila kidumu nahitaji 100
Sent using Jamii Forums mobile app
Hailipi mkuu Mimi mwenyewe nachukua jumla kwa 15000 natafuta sehem yanapouzwa juu kidogo nibangaize angalauBei yako ipo huu sana,nenda Kibaigwa na Pandambili uliza bei zao....utajua ninachokwambia 14,000 rejareja pale na jumla ni chini ya hapo.
.
.
Kama uko tayari chukua 10,000 kwa kila kidumu nahitaji 100
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ushafanya branding ya bidhaa zakoHabari wajasiliamali wenzangu mimi nashida nauliza ni wapi nitapata soko la mafuta ya alizeti safii from Dodoma maana huku wanunuzi wachache..... Nauza kidumu cha litre tano 18000 elfu..... Ahsanteni!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app