Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
natafuta soko la mafuta ya alizeti ambayo nimeyapaki katika lita tano na ninauza kwa sh. 17,000. ni mafuta ambayo yamesajiliwa
Bei yako kama iko juu maana njia ya kwenda Dodoma huwa tunanunua lita 5 kwa elfu 10