P paudongo Member Joined Apr 4, 2012 Posts 6 Reaction score 1 Apr 23, 2013 #1 natafuta soko la mafuta ya alizeti ambayo nimeyapaki katika lita tano na ninauza kwa sh. 17,000. ni mafuta ambayo yamesajiliwa
natafuta soko la mafuta ya alizeti ambayo nimeyapaki katika lita tano na ninauza kwa sh. 17,000. ni mafuta ambayo yamesajiliwa
Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member Joined Jan 10, 2009 Posts 5,471 Reaction score 752 Apr 23, 2013 #2 Bei yako kama iko juu maana njia ya kwenda Dodoma huwa tunanunua lita 5 kwa elfu 10
S sawabho JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 5,286 Reaction score 3,111 Apr 23, 2013 #3 paudongo said: natafuta soko la mafuta ya alizeti ambayo nimeyapaki katika lita tano na ninauza kwa sh. 17,000. ni mafuta ambayo yamesajiliwa Click to expand... Unatumia lugha ya mkato katika kutangaza biashara. Hijaonyesha uko wapi, unapatinaje, mafuta unaweza supply kiasi gani ?
paudongo said: natafuta soko la mafuta ya alizeti ambayo nimeyapaki katika lita tano na ninauza kwa sh. 17,000. ni mafuta ambayo yamesajiliwa Click to expand... Unatumia lugha ya mkato katika kutangaza biashara. Hijaonyesha uko wapi, unapatinaje, mafuta unaweza supply kiasi gani ?
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 6,829 Reaction score 1,303 Apr 23, 2013 #4 El Toro said: Bei yako kama iko juu maana njia ya kwenda Dodoma huwa tunanunua lita 5 kwa elfu 10 Click to expand... mkuu umesahau neno moja .... Ubora!
El Toro said: Bei yako kama iko juu maana njia ya kwenda Dodoma huwa tunanunua lita 5 kwa elfu 10 Click to expand... mkuu umesahau neno moja .... Ubora!