Natafuta soko la majani ya chai kwa madaraja yote

seem seem

Member
Joined
Aug 5, 2023
Posts
45
Reaction score
69
Samahani wapendwaa natafuta soko la majani ya chai kwa grade zote Bf1 na Bf2, hivyoo kwa mtu yoyote anaejua connection na watu wanaoweza kununua naomba aniunganishe nao, awali wanunuzi wangu walikuwa wahindi, kwa sasa nilipoteza mawasiliano, bei yangu ni nzuri na ya kuelewana Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…