natafuta soko la mapera

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
88,759
Reaction score
123,368
niaje wana jf nina mapera kama ton 2 tunategemea kuvuna natafuta soko la uhakika wa kuyauza...nani mwenye idea ani juze
 
Ndugu usijiloge ukapeleka matunda yako Azam bila Ruksa yao, Hakika Utafeli yataoza na utabaki kulialia.

Cha muhimu uConfirm na kiwanda kwanza kama wako tayari kununua huo mzigo.

Pili mzigo huo ni mdogo sana kama kuna jirani pia wanayo na unauwezo wa kupata kama Tani 50, Tafadhali Ni PM tufanye mchakato wa kuuza kwa Azam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…