Natafuta soko la mayai ya kwale

the happy one

Member
Joined
Jun 19, 2013
Posts
26
Reaction score
4
Niko kahama shinyanga, ni mjasiliamali ninaeshughulika na ufugaji wa kwale. Wapi nitapata soko la mayai
 
Soko la hawa ndege na Mayai yake linaenda linakufa...
 
KIZURI CHAJIUZA KUBAYA CHAJITEMBEZA.............hadi unaaandika humu ni kwamba umekwama, je unajua maana ya hiyio methali.....?
 
Niko kahama shinyanga, ni mjasiliamali ninaeshughulika na ufugaji wa kwale. Wapi nitapata soko la mayai

Hawa ndege nilijaribu kwa Moshi, hata sikuuza. Familia ikala wote.
 
Niko kahama shinyanga, ni mjasiliamali ninaeshughulika na ufugaji wa kwale. Wapi nitapata soko la mayai
WEKA contanct Mzee nahitaji trey za kutotoleaha vifaranga vya KWALE

sent from HUAWEI
 
Pole sana.. Soko lishakwama..
Hakuba kitu kibaya kama kushindwa kupanua mawazo, mimi nina Idea nyingine ya hawa Kwarw na soon ikiingia sokoni hutaamini, Kware wana matumizi mengi sana ni kwa bahati mbaya tunajua tumizi moja tu very sad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…