Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko wapi na mbaazi mpya ama za zamani? Kuna wakala nikuunganisheHabar wanajamiii.tuna tani zaidi ya 30 za mbaazi tunatafuta soko .Ni wapi tunaweza kuuza
Kama kuna mtu anamjua mnunuzi basi asisite kuwasiliana nami na mchakato kuanza punde.
Kama upo Lindi ..peleka Mtwara kuna mhindi ananunua kg moja kwa 2000...ukikutana na Madalali utaambiwa 1800..Lindi
India zinaliwa sana kwa wali na hata kwa chapatiKama upo Lindi ..peleka Mtwara kuna mhindi ananunua kg moja kwa 2000...ukikutana na Madalali utaambiwa 1800..
Mkuu ni mpya za mwaka huu au?
Nipo na mzima kabisa, hofu kwakoMambo vp mkuu?
Wahindi wanapenda saana, Ila kwa Tanzania Soko Lake halitabirikiIndia zinaliwa sana kwa wali na hata kwa chapati
Wahindi wameacha kununua?Habar wanajamiii.tuna tani zaidi ya 30 za mbaazi tunatafuta soko .Ni wapi tunaweza kuuza
Kama kuna mtu anamjua mnunuzi basi asisite kuwasiliana nami na mchakato kuanza punde.