Natafuta soko la mkaa mkoani Tanga na Dar es Salaam

Natafuta soko la mkaa mkoani Tanga na Dar es Salaam

MEGATRONE

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2014
Posts
1,140
Reaction score
2,141
Habarini wakuu,

Ninaomba kujua soko la mkaa mkoani Tanga na Dar es Salaam pamoja na bei! Nataka kuja kuuza mkaa katika mikoa hiyo!

Aliyetayari tufanye biashara tuwasiliane kwa 0687391885
 
Mkuu hujui kampeni za Nishaji safi ? Kama una mzigo nakushauri uza haraka au kama unataka ndio uanze hii venture nakushauri uache, nadhani serikali itakuja na masheria ya kufa mtu, kwahio kama una uwezo wa kupenyeza poa huenda bei ikaongezeka maradufu...
 
Last week kuna mwamba mmoja aliniambia gunia la mkaa likijaa uzuri kwa Dar ni shilingi 50k bei ya rejareja.
 
Kila la kheri
Habarini wakuu,

Ninaomba kujua soko la mkaa mkoani Tanga na Dar es Salaam pamoja na bei! Nataka kuja kuuza mkaa katika mikoa hiyo!

Aliyetayari tufanye biashara tuwasiliane kwa 0687391885
 
Back
Top Bottom