Mkuu hujui kampeni za Nishaji safi ? Kama una mzigo nakushauri uza haraka au kama unataka ndio uanze hii venture nakushauri uache, nadhani serikali itakuja na masheria ya kufa mtu, kwahio kama una uwezo wa kupenyeza poa huenda bei ikaongezeka maradufu...