Natafuta soko la mtama mweupe

Natafuta soko la mtama mweupe

Huo mtama ni wa aina gani? make hata mitama myeupe nayo kuna aina, kuna ule wanao utumia TBL kutengenezea bia sina hakika kama ni huo make TBL huwa wana mbegu zao kabisa na wanazisambaza kwa wakulima wao wenyewe.
 
Back
Top Bottom