Ni muhogo unaotumika kuchemsha na kula au kukaanga. Tofauti inawezakuwa aina ya mbegu. Niliyonayo mimi ni mbegu ya asili sio ya kisasa. Hivyo kama inawezekana nisaidie kuniunganisha.Nataka nikuunganishe na watu wa dar je huo muhogo baridi ni tofauti na huu wa pwani?