Habari zenu! mimi nipo dar es salaam nafanya shughuli ya ku-supply samaki sato wa Mwanza kilo sh 7,500/= nina supply kuanzia kilo 100 na kuendelea sio chini ya hapo.
Kwa maziwa fresh ya ng'ombe lita @1700 na yenyewe kuanzia lita 100 nakuletea hadi mlangoni, nina uwezo wa kusupply kwa jinsi atakavyotaka mteja iwe kila siku au kwa wiki n.k.
Karibuni sana namba yangu ni 0753036119