Natafuta Soko la Samaki toka Kilwa

The Giant

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2012
Posts
504
Reaction score
96
Kuna samaki aina ya Jodari, Changu, Tasi, Kibua, Chewa, Ngisi, Pweza, n.k
Naombeni mnisaidie, ni hoteli au mgahawa gani na wananunua samaki aina gani hapa Dar?
Ni vendors gani pia wanaonunua?

Asante.
 
Natafuta kaa,kamba na kamba koche..kama unao ni pm kiasi unachoweza kusupply kwa siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…