Jonathan AP
Member
- Jun 23, 2017
- 5
- 0
Wkt unaanza kufuga uliambiwa wanunuzi hua ni wakina nani mkuu?
dodge
Kwa utapeli huu, kuna mtu nusula auze ng'ombe wake wa maziwa anunue sungura, nilicheka sana.alikutana na wauza sungura wadogo na chakula na dawa za sungura akaambiwa biashara ya sungura pesa njenje na wakiwa wakubwa market ipo y kutosha wawatafte wamsaidie kuuza..jamaa akaingia kingi saiv wajanja hawapokei simu zake tena
Sent using Jamii Forums mobile app