Natafuta soko la uuzaji wa nyanya na uyoga

Natafuta soko la uuzaji wa nyanya na uyoga

All TRUTH

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2011
Posts
5,453
Reaction score
2,569
Habari wana JF
Nina bidhaa za nyanya na Uyoga so natafuta solo LA kuhudumia nipo Dar es salaam. Ni nyanya nzuri na Uyoga ni mzuri sana. Kwa anayetaka ani PM.
 
Uyoga wa porini au huu wakupanda katika mifuko? Kama ni ule wa porini, unitafute...
 
Jamani mimi nataka tufanye biashara zote A.NYANYA B.UYOGA naamini hakuna kisichowezekana hapa dar..
 
Habari wana JF
Nina bidhaa za nyanya na Uyoga so natafuta solo LA kuhudumia nipo Dar es salaam. Ni nyanya nzuri na Uyoga ni mzuri sana. Kwa anayetaka ani PM.
Msaada na mi nijue uzalishaji wa uyoga
 
Mkuu tafadhari naomba utupie picha ili ndg zako tushawishike.
 
Back
Top Bottom