HaMachiach JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 3,417 Reaction score 6,149 Jul 28, 2022 #1 Habari wakuu natafuta soko la kuuza vanila nina kilo kama 400 hivi pia nataka kujua bei ya kilo moja ni gani naomba mwongozo tafadhali
Habari wakuu natafuta soko la kuuza vanila nina kilo kama 400 hivi pia nataka kujua bei ya kilo moja ni gani naomba mwongozo tafadhali
wajingawatu JF-Expert Member Joined Jan 20, 2013 Posts 2,046 Reaction score 2,453 Jul 28, 2022 #2 Nanunua kilo Tsh 20,900.00. Kiasi chochote
buswagg JF-Expert Member Joined Oct 21, 2023 Posts 728 Reaction score 1,352 Nov 8, 2023 #3 wajingawatu said: Nanunua kilo Tsh 20,900.00. Kiasi chochote Click to expand... mkuu, nina tani 20 na zaidi, dm tuzungumze zaidi
wajingawatu said: Nanunua kilo Tsh 20,900.00. Kiasi chochote Click to expand... mkuu, nina tani 20 na zaidi, dm tuzungumze zaidi
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Nov 8, 2023 #4 Vanilla Ni Zao La Wanasiasa Maana Nalo Limejaa Ghiriba, Fitna, Ujanja Utaambiwa Kilo Million