Natafuta soko la Vanilla

Minboss

New Member
Joined
May 23, 2023
Posts
4
Reaction score
1
Hello,

Naomba kwa anaejua biashara ya vanilla, naitaji soko. Naombeni msaada wenu [emoji120] please.
 
Kilo si nilisikia milioni moja na wahindi wanakufaten hukohuko shamba?
Sisi atuwaoni mbn hao wa million 1... wanaokuja ni wa laki wanadidimiza wakulima.... natumaini kutakuwa na sehemu ya kupeleka hao wanaokuja shamba atuwataki... tunatafuta soko wenyew, tumelima kwa vikundi wakichukuwa kwa laki aitunufaishi kwa chochote[emoji119]
 
Uko mkoa Gani, mna kilo ngapi nianze kukagua masoko huku dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…