Una makadirio ya gunia ngapi? Bei kwa gunia kiasi gani?Wandugu habari za jioni. Naomba msaada wa kupata soko zuri la vitunguu au kama utakuwa mmoja wa wanunuzi basi tafadhali tuonane inbox. Vitunguu viko hedaru.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu gunia zipo kama 550 hivi; angalau nipate 170,000 kwa gunia wa kuchukua shambani
Samahani mkuu umelima heka ngapi na huko hedaru ni mkoa gani?Wandugu habari za jioni. Naomba msaada wa kupata soko zuri la vitunguu au kama utakuwa mmoja wa wanunuzi basi tafadhali tuonane inbox. Vitunguu viko hedaru.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu inatakiwa usubiri uhakiki wa shamba lako kwanza kama kule kwenye koro-show,,tena kwa nyie wa vitunguu tuwaletee wale jamaa watululiza fujooo ili heshima iwepoo.Wandugu habari za jioni. Naomba msaada wa kupata soko zuri la vitunguu au kama utakuwa mmoja wa wanunuzi basi tafadhali tuonane inbox. Vitunguu viko hedaru.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna eka sita; hedaru ipo Kilimanjaro, mji wa kwanza baada ya kuiacha tanga, barabara kuu ya dar-arushaSamahani mkuu umelima heka ngapi na huko hedaru ni mkoa gani?
Habari ndugu, Je bado vitunguu vipo?Wandugu habari za jioni. Naomba msaada wa kupata soko zuri la vitunguu au kama utakuwa mmoja wa wanunuzi basi tafadhali tuonane inbox. Vitunguu viko hedaru.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app